153 - Fikira Moja Tu

153 - Fikira Moja Tu
"One Sweetly Soloemn Thought"

1.

Fikira moja tu  Hurejea tena; 
Nimekaribia mbingu Zaidi ya jana.

Karibu na kwetu mbingu, 
Karibu na kwetu sasa,   Nikwone karibu.


2.

Karibu na kwetu Na kwenye makao; 
Kiti cha enzi cha Mungu, Pahali pa mto.

3.

Kamilisha, Yesu, Kuamini kwangu; 
Nikifika mwisho wangu, Nikwone karibu.

(Amina)

Comments